Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2021

Lyrics

Tumekubalika - Ambwene Mwasongwe

...

Tumekubalika na Mungu

Tuna nguvu za kifalme

Ametuchora kwenye moyoni mwake

Tu uzao wa agano

Tumekubalika na Mungu

Tuna nguvu za kifalme

Ametuchora kwenye moyoni mwake

Tu uzao wa agano

Tu uzao mteule (Aaaaaah)

Kuhani wa kifalme (Aaaaaah)

Taifa takatifu (Aaaaaah)

Watu wa milki ya Mungu (Aaaaaah)

**

**

Nimemuona Mungu amewaleta

Kutoka Misri wana nguvu kama za nyati

Watawavunja adui mifupa vipande vipande

Watawachoma adui kwa mishale

Yeye amewabariki Nani awalaani

Mungu kawabariki Nani wa kuwapinga

Wana nguvu (Aaaaaah)

Mungu kawapa(Aaaaaah)

Wanaweza(Aaaaaah)

Bwana kawapa (Aaaaaah)

Hohooo!

Wana utisho (Aaaaaah)

Bwana kawapa (Aaaaaah)

Hoooooooo!

**

**

Hatuwezi tishwa kwa maneno Yao

Nguvu zetu zipo kwa Bwana

Tulipona kwa farao tukiwa ugenini

Hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu

Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha

Tulipona magonjwa tukiwa hatuna dawa

Tulipona mawifi ndoa zikiwa tete

Tuliweza Maisha tukiwa hatuna hela

Tulishinda upweke tukiwa tumeachwa

Tuliponyoka kesi bila ya mtetezi

Mungu alikuwepo hatukuwa peke yetu

Waliotuonea hilo hawakujua

Katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati

Kuvunja vipande

Katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati

Kuvunja vipande

Yayayayaa!

Tumekubalika,

Tumekubalika na Mungu

Tuna nguvu za kifalme

Ametuchora kwenye moyoni mwake

Tu uzao wa agano

Tumekubalika na Mungu

Tuna nguvu za kifalme

Ametuchora kwenye moyoni mwake

Tu uzao wa agano

Usiyelala (Aaaaaah)

Usiyelala (Aaaaaah)

***

Usiwachokoze walio na Mungu

Wamebarikiwa na Mungu

Wakitupwa jangwani wateseke wafe

Huligeuza bustani

Tulikula mtama kwa maji

Tukanawiri kuliko wao

Hatukupambwa kama wao

Tukapendeza zaidi yao

Walitubadilisha majina

Hawakubadili hatma

Walipotutupa shimoni

Tukaibukia ikulu

Kule walikotusukumia

Ndiko Mungu hupumzikia

Walidhani wana tukimbiza

kumbe wanatusindikiza

Bwana wangu - Yesu

Yesu - Yesu

Mshindi - Yesu

Mwamba-Yesu

Wewe-Yesu (Aaaaaah)

Jiwe langu - Yesu)

Ngome - Yesu

Mwamba - Yesu

Bwana-Yesu - Wangu-Yesu (Aaaaaah)

Jiwe langu-Yesu

Kuhani-Yesu

Haki-Yesu

Ngome-Yesu

Nguzo-Yesu

Jina lako - Yesu Yesu - Yesu

Haki-Yesu

Mwamini-Yesu wewe - Yesu (Aaaaaah)

Tumekubalika na Mungu

Tuna nguvu za kifalme

Ametuchora kwenye moyoni mwake

Tu uzao wa agano

*

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status