Tusafishe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Tusafishe - Linex
...
The V. O. A
The bad number
Tunapitia mengi ya kukatisha tama na haya bebeki bila mkono wako Bwana, Malaika wako wakae ndani yangu siku zote, mda wote, maisha yangu yote aaah
Bwana mwaga jeshi lako la Malaika kwenye mitaa watu wako wanateseka wamekata tama na wananung'unika, Bwana mwaga jeshi la watumishi wako wakahubiri neno la uzima na kweli kwenye mitaa, watu wapate kuokoka mtaani kumechafuka
Tukisha kumbwa na hasira yako tutakosa mwelekeo, Yesu we ndo kimbilio la wotee
Yesu we ndo kimbilio la woteee
We ndo kiboko ya madoa, tusafishee 2×
Nchi inapoteza nguvu kazi vijana wanauana kisa mapenzi, tumkumbuke Mungu siku za ujana wetu, bora kumtumainia Bwana kuliko kuwatumainia wakuu, heri kumtumainia Bwana kuliko kuwatumainia waakuuuuu uhh
Bwana mwaga jeshiiii la Malaika wako wa mbinguni kwenye mitaaa watu wako wanateseka wamekata tamaa na wananung'unika, Bwana mwaga jeshi la watumishi wako wakahubiri neno la uzima na kweli kwenye mitaa watu wapate kuokoka mtaani kumechafuka
Tujapokumbwa na hasira yako tutakosa mwelekeo, Yesu we ndo kimbilio la wote, Yesu we ndo kimbilio la wote we ndo kiboko ya madoa tusafishe 2×
We ndo kiboko ya madoa tusafisheeee