
Salima Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Salima - Linex
...
Je je je, ah
The VOA
Tuddy Thomas
Wasafi...
[Verse 1: Linex]
Salima, Salima, oh
Najua maisha yako
Yaliyumba pale ulipo wapoteza
Wazazi wako
Yule Salima wa jana
Sio Salima wa leo
Amekua wa kujinania
Na kujikata tamaa
Iko wapi furaha yake
Alivyokuwa nayo mwanzo
Iko wapi furaha yake
Aliyokuwa nayo mwanzo
Salima nakusanze kasuru
Kagonga wekuye tenga tinyanya
Salima chenisange nguya
Yena nasoma nawe mwengee
Salima mi ni sange yule yule
Milie soma nawe Mwenge
Zimeyayuka ndoto zako
Ulizo kuwa nazo Salima