Baby Mama Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Baby Mama - Linex
...
Intro: THE VOA ... SMG
Nahbhaakihee kuhzurhaah ! , aggasiye kirumugenzi
Urugooh, nngoikuye Uroohsombelela ( Kigoma mama tongue)
Kama kuimba kupokezana na usijali ma babe ,Hatuna time na madrama ( drama)
Tumezaa na tunalea , Kwanza nikupe sifa zako Oooh
Kwa kutobagua watoto Ooh! , Tena nikupe hongera zako
Kwa kumtunza mke wako , Tatizo lako mkigombona aah!
Unanipa lawama , mkipatana unajizima data
Nakuniona sina maana AAH! , ushaambiwa mahawara hawaachani hiyo ni misemo ya zile zamaaaah!
Sikuzui kuwa nawe kwa Babe mama
Nayajua mapenzi ya mke yanauma vibaya aa!
She's ma babe Mama , tushagombana tukapatanishwa
Ikashindikana (She's ma babe Mama)
Kuwa na Amani mimi na mkeo ni wazazi tunalea
She's ma babe Mama
tushagombana tukapatanishwa ikashindikana (She's ma babe Mama aa)
Kuwa na Amani mimi na mkeo ni wazazi na tunalea
....Beat ...
Verse
Nisipo HESHIMU ndoa yako tukufu , dhambi kwa MUNGU BABA EEEH!
Nafsi na mwili vita ni hukumu , dhambi kwa MUNGU BABA EEEH!
Nani nikisema nijiweke mbali , na mwanangu Neema itakuwaje?! .eeh
Nikisema niwe karibu nawe , mume wako atanionaje e!
Sikuzui kuwa na babe Mama aa , nayajua mapenzi ya mke yanauma vibaya
Matumizi na hizo Ada za shule , nisilete mwenyewe Eeh!
Sawa najua unafikisha ila ntakuaminije?
Mh... Mhhh
Mazuri yote nilomtendea mwanangu , yatavuliwa na nitavikwa Ubaya
Daima atajaa , atameza sumu Baba yako alikutupa vibaya
She's ma babe Mama tushagombana tukapatanishwa ikashindikana
She's ma babe Mama
Kuwa na Amani mimi na mkeo ni wazazi na tunalea
She's (She) ma babe Mama tushagombana tukapatanishwa ikashindikana
She's ma babe Mama
Kuwa na Amani mimi na mkeo ni wazazi na tunalea
My babe Mama aaaah!
na j j jeda
End
Edited : Bahati Mushi Kindi
Contact me:+2556796905