
Utaniona Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Utaniona - Linex
...
The VOA, the bad number
Mimi ni dhaifu Nina mapungufu simkalifu uuuuuh, hitaji langu la moyo ni msamaha wako Yesu, naweza jivika usafi mbele ya uso wa Dunia aaah, nikayaficha maovu yangu Bwana (utaniona)
ila siyo kwako Bwana ahhm utaniona 2×
Hata nijinyenyekeze kwa viongozi wa makanisa kama hauko ndani yangu mimi ni bure kabisa, oooh Yesu nimekuja kwako unipokee eeeh 2×
Nikufananishe na nini Bwana, haufananishwi, nikutolee sadaka gani mimi Bwana, ya kukutosha, sina wema wa kutosha dhambi zangu kuziosha, kutomsahau Mungu katika fanaka tusikusahau Bwana,tukizingatia tutapata kuishi na kuongezeka
naweza jivika usafi mbele ya uso wa dunia aaah nikayaficha maovu yangu Bwana
ila siyo kwako Bwana utaniona 2×
hata nijinyenyekeze kwa viongozi wa makanisa kama Yesu hauko ndani yangu mimi ni bure kabisa
oooh Yesu nimekuja kwako unipokee eeeh 2×