
Wao Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Wao - Linex
...
Ndoa yetu ifungwe.. Wapambe wetu watambe.. Nikikuletea maua uyapande yachanue.. Yakistawi.. Nikiyaona... Niwe kama nimekuona wee.. Asalale.. Uzuri wako.. Unanivutia kama vazi nilipendalo.. Na usiwe starehe yangu tu Uwe mama.. Wa watoto wangu We sio gari.. La kifahari.. Niende showroom nikununue.. Bora uniache..moyo wako uiridhie waooh mama waooh waooh mama waooh Fundi cherehani nishonee nguo yangu Nataka kwenda kwa mchumba Yanipasa kupendeza waooh mama waooh waooh mama waooh