Mchuma Janga Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Mchuma Janga - Linex
...
yeah the VOA Samahan yangu inamaanisha maana halisi ya mkosaji anaeomba msamaha na pia nina majuto ya mengi niliyokutendea ungenivumilia mara ngapi labda mwenzetu unajiwe hauna moyo ndio maana ninakukosea chorus mchuma janga hula na wakwao mapenzi yetu yakafika mwisho subira labda isingekuponza ingeleta heri isingekua shari japoo ulishika mpini nkashika makali, jua lisichwee ingali bado unauchungu hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu leo tungekua wapi ningekuonesha upendo my love×2 ni kama nimekumbuka shuka kumekucha mwana mpotevu, yalikuwa ni mapungufu tu ya kibinadamu nikajikweza na kujisifu nikapata anguko la kiuchumi nikiwa sipo tena mikononi mwako chorus mchuma janga hula na wakwao mapenzi yetu yakafika mwisho subira labda isingekuponza ingeleta heri isingekua shari japoo ulishika mpini nkashika makali, jua lisichwee ingali bado unauchungu hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu leo tungekua wapi ningekuonesha upendo my love×2 umevumilia mara ngapi labda mwenzetu unajiwe huna moyo ndio maana nmekukosea