Sina Cha Kupoteza ft. Darassa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Sina Cha Kupoteza ft. Darassa - Linex
...
This is too deep, deeper than love
The V.O.A
Kama maumivu ndiyo dawa yangu
Basi ongeza dozi upate ahueni
Basi niambie ubaya wangu
Ili kesho nikipata nafasi nisikosee tena
Nishapoteza pesa mpenzi and nobody can feel the pain
Jahazi lishazama
Chombo kasha kwenda mlama
Na ukipata nafuu ya maisha kwa mwingine
Nenda kabahatishe tena bahati yako mama
Jahazi lisha zama nishapoteza
Chombo kasha kwenda mlama nishapoteza
Haya haya haya
Maana sina cha kupoteza
Haya haya haya
Najiuliza vipi niendelee kuforce
Au nikubali matokeo kwamba am lost
Merory kwenye mind haufutiki ka post
Yes of course nakupenda na inanicost
Hata siku izi ukiniona nimekaa kisela sela
Hisia zinaniendesha akili kama tela
Nikienda home mama mmhh
You are doing better
Mapenzi yanakuchakaza au ndo kusaka hela
Nimejaribu kukupisha kwenye njia ah wapi
Nikajaribu kuficha ficha hisia ah wapi
Popote ulipo kama unanisikia
Naimba na wewe na unajua pa kuitikia
Nimejaribu kukupisha kwenye njia ah wapi
Nikajaribu kuficha ficha hisia ah wapi
Popote ulipo kama unanisikia
Naimba na wewe na unajua pa kuitikia
Haya haya haya
Maana sina cha kupoteza
Haya haya haya
Maana sina cha kupoteza
Jahazi lisha zama nishapoteza
Chombo kasha kwenda mlama nishapoteza