![Mimi Ni Wajuu (Live)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/28/dfbeda22a3e0414c82a8e46f54622ffb_464_464.jpg)
Mimi Ni Wajuu (Live) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mimi Ni Wajuu (Live) - Joel Lwaga
...
Kuna wakati wa gizaa...
mbele sion najiuliza..
mbona Kam izi shiiida zimekawia kuishaa.
katikati ya maswaaali..
nasikia sauti ndaaaniii...
imebeba ujasiriiii...
ikii initaka nikilii...nikisemaaaa
Mimi ni wa juuu...x3
Juu sanaaa
Mimi ni wa Juuu...x3
Juu saanaa....
.......
Sitafsiriwi kwa hayaa...
Machozi na magumuu..
Mimi ni mshindi tuu kamshindie Mungu..
Haijarishi ni Giza yeye ni Nuru yangu..
nitashinda hii vita na yote yatakwishaa..
Nitasimama tena, Nitainuka tenaa
Mimi ni wajuu tuu x2
Nitasimama ten,Nitainuka tenaa
Mimi ni wajuu tuu x2