![Hapo ft. Marioo](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/73/2D/rBEehl2dp6eAJZvgAACRws6oqsM902.jpg)
Hapo ft. Marioo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mapenzi matamu,
kama tutapendana kweli
Mimi na wewe wewe,
eeeh
Tuoneshane nidhamu,
kati hatutokuja feli
Tuishi milele lele
Mami Lo!,
mami Lo!
Mami Lo! yoyo
Tufanye siri
Mami Lo! yoyo
Simamia biri
Nikikosa unipe nafasi ya kuyajenga Mimi nawee
Mimi na wewe,
iyee, iyee, iyeee
Ukikosa nikupe nafasi Ya kuyajenga mimi nawee
Mimi na wewe Iyee, iyee, iyeee
Hapo, hapo, hapo
Hatutashindwana
Hapo, hapo, hapo
Me na we tumepe...
Hapo, hapo, hapo
Hatutashindwana
Hapo, hapo, hapo
Me na we tumepe...
Tumependezana mmhh!! eeehee!!
Nikikosa samaki
Nije na dagaa unipokee
Nikikosa mchele Nije na unga eehee!!
Nikikosa Versace
Midabwada we vaaa,
Usinifokee
Siku nikokosa michele Si tutavunga eeeh
Twende unapopataka
Nije unapopataka
Twende hakuna mashaka
Utamu mpaka kwa kisogo
Nikikosa unipe nafasi ya kuyajenga Mimi nawee
Mimi na wewe, iyee, iyee, iyeee
Ukikosa nikupe nafasiya kuyajenga Mimi nawee
Mimi na wewe, iyee, iyee, iyeee
Hapo, hapo, hapo
Hatutashindwana
Hapo, hapo, hapo
Me na we tumepe...
Hapo, hapo, hapo
Hatutashindwana
Hapo, hapo, hapo
Me na we tumepe...
Nikikosa samaki
Nije na dagaa unipokee
Nikikosa mchele Nije na unga eehee!!
Twende unapopataka
Nije unapopataka
Twende hakuna mashaka
Utamu mpaka kwa kisogo
Hapo, hapo, hapo
Hatutashindwana
Hapo, hapo, hapo
Me na we tumepe...
Hapo, hapo, hapo
Hatutashindwana
Hapo, hapo, hapo
Me na we tumepe...
Mi na we, mi na mi na we vimenogaa
Hatutoshindwanaa mmhh
Mi na we vimenogaa, kama mapachaa!!
--- www.LRCgenerator.com ---