![Chonde](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/17/417cf3273f1e4c66bddcd1fe2f2f1d28.jpg)
Chonde Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Chonde - Lomodo
...
Nahisi wewe ndo wa kwanza na wamwisho kwenye dunia
Maana furaha yangu umeibeba umeibeba
Unanilea kakichanga unanibembelezea najilalia
Usije niacha peke yangu solemba solemba
Naridhishwa na yako mapenzi unanikosha roho
Nakukutenga mi siwezi mi nawe ngoma droo
Tena mapenzi siriii mapenzi uvumilivu
Ukinipenda nami nikakupend hiyo inatosha.
Usije niacha pindi nikikosa (Chonde chonde chonde)
Miniwako usihesabu makosaa (Chonde chonde chondee)
kunishembedua hiyo inatosha (chonde chonde chonde)
We ni wangu (chonde chonde chonde)
Mabeibi bebi buuuuuu (chonde chonde chonde)
Uuuuuuuuuui
Chunga kuna wavimba macho na vigagula mabarobaro wauza sura
Wasije kukuteka ukaniacha bila
oooh bilaaaaaaa
Noona raha zaidi nanogewa utamu utamu
Nipe yote nifaidi usiongeze wengine wakaleta jam
Usije badilika mama mi mgonjwa tayari kwenye machela
Mapenzi yanauma sana oooh dali daliiiii
Naridhishwa na yako mapenzi unanikosha roho
Nakukutenga mi siwezi mi nawe ngoma droo
Tena mapenzi siriii mapenzi uvumilivu
Ukinipenda nami nikakupenda hiyo inatosha.
Usije niacha pindi nikikosa (Chonde chonde chonde)
Miniwako usihesabu makosaa (Chonde chonde chondee)
kunishembedua hiyo inatosha (chonde chonde chonde)
Tusibishaneeeeee
Chonde chonde chonde
Uuuuuuuuu
Pindi nikikosa chonde chonde chonde
Ila makosaaaa chonde chonde chonde