![Umenipata](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/11/d09ef9a5da8e4be5b227285fe025789a.jpg)
Umenipata Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Umenipata - Lomodo
...
Lyrics
Listen
People also search for
Main results
Iyee hiyee eeh!
Oh!baby Nionyeshe
Kipi unataka utapata
Ooh! Baby nionjeshe
Tam kwa tam inanata
Mmh! Mwenzako kiparuparu chanipanda nataka nataka
(Nataka nataka)
Penzi jini limenipanda la jini makata (Makata makata)
Hee! Moyo wangu umejawa viraka (Viraka)
Nawewe ndio fundi wangu nitengenezee
Penzi langu mama lina mashaka (Mashaka)
Nawewe ndio chaguo langu usinipotezee
Mmh! Kuchepuka naona shida kwingine nitake nini
Kwako nakula nashiba hii iii!!
Umenipata pata umepata
Umenipata pata umenipata
Umenipata pata umepata
Umenipata pata umepata
Nahata nikilia wanifuta machozi nakuona mkombozi
Dear sijiwezi kinaniwasha kidudu penzi
Hutaki yale ya mtandao
Kuniita Lomodo Voice killer
Au yale ya video
Kucheza nusu uchi Kama shakira
Nikipenda napenda mazima sijawahi kutendagaa
Wanaokuja wanapima wanapima wananimwaga
Mie myonge mimi mgonjwa wako nipe vidonge eeeh!
Nishuke mabonde mwendo nyatu nyatu nyama na tonge eeeh!
Mmh! Mwenzako kiparuparu chanipanda nataka nataka
(Nataka nataka)
Penzi jini limenipanda la jini makata (Makata makata)
Hee! Moyo wangu umejawa viraka (Viraka)
Nawewe ndio fundi wangu nitengenezee
Mh! Penzi langu mama lina mashaka (Mashaka)
Nawewe ndio chaguo langu usinipotezee