![Niamini](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/27/7904ed49111c49b897493e4166489473_464_464.jpg)
Niamini Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Niamini - Lomodo
...
Yani uroda baby laazizi kipenzi
Mahabuba honey nyongo mkalia ini
Mwenye uzuri wa sura uzuri ulopewa na mwenyezi
Unanyingi sifa mengi kadhalika hodarii
Nitake mwengine wa nini na ww ndo unantosha
Makombokombo ya nini pilipili ikawasha
Nazidisha ufundi umakini nisije uguza presha
Ukianza ww nafata mimi mpka mwisho tukifa
Uniamini mwenzio lala la lala lala
Unaanza we nafata mimi lala la lala lala
Mpaka mwisho tukifaa lalala lala lala
Unaanza we nafata mimi lala lalal lala
Amenijaza makopa makopa makopa
Anayajua mapenzi mahaba yamwagika ndani
Mpaka mwenzenu naogopa naogopa
Asa akienda mbali moyoni sina amani
Chuchuchuchu totototo jamani toto langu ni mtam kajaza utam
Jamani mchuchu mchuchu mtotototo jamni toto langu ni kanenepa haniishi hamu
Nitake mwengine wa nini na ww ndo unantosha
Makombokombo ya nini pilipili ikawasha
Nazidisha ufundi umakini nisije uguza presha
Ukianza ww nafata mimi mpka mwisho tukifa
Uniamini mwenzio lala la lala lala
Unaanza we nafata mimi lala la lala lala
Mpaka mwisho tukifaa lalala lala lala
Unaanza we nafata mimi lala lalal lala
Aaaaah nakupendaaa