![Sina Ujanja ft. Nandy](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/17/85/rBEeM1tJoZGAdmViAADqqPFuUqc707.jpg)
Sina Ujanja ft. Nandy Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Sina Ujanja ft. Nandy - Lomodo
...
... ay ay ay .. iyee hauuueeeee
huhuhuhuuu yehhhheh (the African princess).
riziki inakirefu namini
umenituliza akyamungu siamini
yaweje we mwenzangu na mimii
hauto nilizaa, kamasamaki alotoka barini
Maana mapenz unayonipa, kwamwengine sijaona...
Sijala nanenepa, walopochanaa.
oohhh
Waniparaha sana we dada, nje sitamani penzilako tamtam...
Waniparaha sana wee dada, nje sitamani
unavyo nipa mashamsham..
ehh
Nimenasa na nimenasikaa.. Sinaujanja
Na si (papariki)X2 mikwako nimefika.. Sinaujanja
Mieeeeeeh kwaako, Sinaujanjaaa
Eehhhh Ohhhh, Sinaujanja
... eh ..
Hata na Mimi nishatumbukia, Sitaji kwingineeeh.. eh.
Nakwona King nami Malikiaa, Yanini pengineeeh eh.
Dezo dezo unanidekeza
kwa nyimbo za pwani ukinichombeza
Kitandani ndo umeniweza
Nalala kama pona ukinibembeleza
Baba oh Baba eh utaniuwa
Baba oh Baba,,, ihyeeee
Maana mapenz ubayonipa, kwamwengine sijaona
Sijala nanenepa, walipochana umeshona ooh
Waniparaha sana we kaka, nje sitamani penzitako tamtam
Waniparaha sana we kaka, nje sitamani unavyonipa mashamsham..
Heee,
nimenasa na nimenasika, Sinaujanja
na si (papariki) X2 mikwako nimefika, Sinaujanja
Miehh kwako, Sinaujanja
Oh mieh kwakoo, Sinaujanja
Nasipapariki papariki mi kwako nimefika, Sinaunja.
Oh miiye eh, Sinaujanja
Miye ehhh kwako, Sinaujanja
(Umenishika) X2 umenikamata Oh, Sinauhanja.
Mmmmmmh eh iyeh
ehhh
........
..... eh
Oh may Gad its better same.