![Natetemeka ft. Kayumba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/10/04ebc120b8f04571ae83ced68d819c00.jpg)
Natetemeka ft. Kayumba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Natetemeka ft. Kayumba - Lomodo
...
Mmm yee nananana nanana
Mmm woowooo woo
Eeeeee
Sabri made it
Nipumzishe mama moyo unanienda mbioo
Nahisi nakufa nakufa kuzikwaa
Maana mma ahhaunavyofanya sio
Mwili unaisha unaisha kukutika
Mapenzi Yawatu wawili
Nami shadondoka kwako chaguo niwewe
Nitaenzi (nitaenzi) sitaifanya siri
Kwako nakula kiapo naomba unielewee eee
Ooh
Tusafiri nikufikishe kunako(kunako)
(Mapenzi tanga yalipo zaliwa)
Twende mazabei bata la dubai
(Kisha nikurudishe kwahako)
Nikubali niwe wako mwenzako naumbwa kukataliwa
Yani niko hoi wakulazwa hoi
Ilatiba yangu iko kwako
MWenzako huku nataabika moyo
Unapepea pee (natetemeka)
Kama jogoo lishawika wendo mtetea tee
Ooh aahee
Sitofunua kufunika nipe moyo nikulelee (natetemeka)
Kana jogoo lishawika wendo mtetea tee
Ooh maa ee
Mmm mmmm aaaah
Nipe nafasi ya mapenzi penzi penzi
Maamuzi yako kwangu hutojuta
Ujana kuchezeana shavuka
Kwako nishajipanga na gwanda nishanyooa
Karibu dunia ya penzi penzi penzi
Hapa taratibu sinaga pupa
Wenye haraka walishashuka
Nakukaribishaa malaika
Kwako ujanja sina (sina ujanja)
Mikoba akili na moyo wangu ushazima
Usije ninyima wendo mizizi tegemeo langu mi shina
Haiyaiyaa
Tusafiri nikufikishe kunako(kunako)
(Mapenzi tanga yalipo zaliwa)
Twende mazabei bata la dubai
(Kisha nikurudishe kwahako)
Nikubali niwe wako mwenzako naumbwa kukataliwa
Yani niko hoi wakulazwa hoi
Ilatiba yangu iko kwako
MWenzako huku nataabika moyo
Unapepea pee (natetemeka)
Kama jogoo lishawika wendo mtetea tee
Ooh aahee
Sitofunua kufunika nipe moyo nikulelee (natetemeka)
Kana jogoo lishawika wendo mtetea tee
Ooh maa ee