![Sina](https://source.boomplaymusic.com/group2/M13/1A/63/rBEeM14TAvmATBZAAACSe07CLfk992.jpg)
Sina Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Sina - Lomodo
...
Mmh!! Yeeeeee Mhhh
Mmhh!!!!
Aaaaa!!!
.
Nadhalilika Nateseka Na Mapenzi Mmh!!
Yamenifika Nimekosa Mtetezi Mmh!!
Alinirubuni Kwa Kung'ata Ulimi Maneno Matamu Utamu Kumbe Chungu
Leo Ng'ombe Kazee Maini Na Kama bamia Aifai Kwenye Funguu Eeeh!
Niling'ang'ana Simwachi Simwachi nampenda Yeye Tu Mpaka Kuku Amepiga Sachi Oho! Sachi Namwaza Yeye Tu.
Mi Oi Oi Nimelazwa Taabani Nipige Tafu Wa Kuniokoa Ni Nani Piga Moyo konde Umlani Shetani Ya dunia Yasinielemee
Mbayuwayu Nimekwama Angani Leo Simba Dume Ninakula Majani Umezima Mshumaa Na Umeniacha Gizani
Wakuniokoa Sinaa! Sinaaa Wakunipa Imani Imani
Kunipenda Kama Zamani Atakaenithamini Sina Ohooo!! X2
.
Maumivu Maumivu Sijazoea Zoea Zoea
Mvumilivu Ula Mbivu Kumbe Napotea Potea Potea Eeh! Yashamwagika Maji Nang'ang'ana Kuyazoa Kuyazoa Kweli Kupenda Kipaji Ni wachache wanaotoboa Wanaotoboa
Umefunga Fundo Kiunoni Wala Sioni pengine Umepotea Ghafla Sikoni Bora Mzungu Wa Nne.
Mi oi oi nimelazwa Taabani Nipige Tafu Wa Kuniokoa Ni Nani Piga Moyo konde Umlani Shetani Ya dunia Yasinelemee Mbayu wayu Nimekwama Angani Leo Simba Dume Ninakula Majani Umezima Mshumaa na Umeniacha Gizani.
.
Wakuniokoa Sina
Sinaa Wakunipa Imani Kunipenda Kama Zamani
Atakaenithamini Sina Ohooo!!
Oho! Sina Aaa Wakunipa Imani Kunipenda Kama Zamani Atakaenithamini Sina Ohooo!!!!!!!
Artwork By. Deejay Future Genious....