![Body ft. Ndovu Kuu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/19/28ee57931dea491bb7ac25ab500cbc74.jpg)
Body ft. Ndovu Kuu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Body ft. Ndovu Kuu - Brown Mauzo
...
Aaaaah naskia unapenda kitu kuu
Hujai lalisha mwili figa iko true
Hujai lalisha nikupee wajukuuu
Huskii brown alilalisha serikali yani coup
Unanipa was was kwanza venye hiyo haga inavuta wafuasi
Basi unipe chance yani unipe nafasi
Ndovu nikupe yote nasio kiasi,,,,, , asi
Si i can choose you when ever no shame
Walai i can do it do itall over again
Siwezi kushare hii mali iende chain
Alafu tuongeze ndovu ni kuu in your name