![Nimchague Nani](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/09/95009852b89745b7a3f7ba238eeb1de6.jpg)
Nimchague Nani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Nimchague Nani - Brown Mauzo
...
man water the hits maker on the beat
combination sound
mmh! aah! moyo wangu umejaliwa kupenda
ina maana nki chukia nachukia naenda
nafsi yangu nahofia kuumizwa ina maana niki umia naumia nakonda
ai maana mapenzi kamari nahofia kuliwa kukuoa naogopa sababu nahisi ntaibiwa maana mapenzi kamari nahofia kuliwa kukuoa naogopa sababu nahisi ntaibiwa eeeeh! eeeh eee
nimchague nani nani? mchague nani?oooh nani? jamani nanii? chague nimpe roho yangu nimchague nani? chague nani? nani? jamani nanii ? nchague nimpe roho yangu aah!
( oooh nani jamani nani nimpe roho yangu)
verse 2(by joveo mkenya )
aaah! yashageuka biashara siku hizi wengi wananunua
yule uliomchagua kesho yake anazingua yashageuka biashara siku izi wengi wana nunuaaa!
yule ulio mchagua kesho yake ana zingua zile i love you' i need ' i miss you kumbe misemo tuu
ukweli upo moyoni
zile i love you i need you i miss you kumbe misemo tuu
ukweli upo moyoni
aai maana mapenzi kamari nahofia kuliwa kukuoa naogopa sababu nahisi ntaibiwa maana mapenzi kamari nahofia kuliwa kukuoa naogopa sababu nahisi ntaibiwa eeeh eeee nimchague nani nani? chako nani nani? jamani nanii chague nimpe roho yangu nimchague nani nani? chako nani nani? nasema nanii chague nimpe roho yangu aah!
verse 3 (@joveo mkenya all media platforms)
yasije nikatisha rahaa nishindwe kulala eti kisa Fulani
andekeze kwa saana nikisha mzoea anaeza amua ajenibuaga
nisije lia "kimazoea" nikaumia kimazoea oooh aiii nisijelia kwa mazoea nikaumia mazoea aaah
mazoea mmmmh kombinenga
nisijelia (burning water) nikaumia (and drink)
aaaah!! eeeyyy nimchague nani nani ooh nani nani jamani nani nani nimpe roho yangu
nimchague nani nani nmchague jamani nani nimpe roho yangu aahhh
sawa sawa