![Moyo Wangu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/19/28ee57931dea491bb7ac25ab500cbc74.jpg)
Moyo Wangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Moyo Wangu - Brown Mauzo
...
Moyo wangu...Brown mauzo
....
Na upendo wa thamani, kupenda kusiko kifani,kueka kuzani
Haupimiki
Na maisha safari, tuianze tukiwa wawili
Wewe ndio rubani, wee niendeshe
Nasijazama nusu, mzima kichwa na
miguu
Shaidi ardhi na mbingu
Moyo wangu nilikupa, akili yangu
ukaiteka
Moyo wangu nilikupa, akili yangu
ukaiteka
Nikuache wewe niende kwa nani,
Kwako napata nitakacho,
Yangu taa kwangu chumbani
Ni wewe
Wapo wengi ila siwaoni , machoni na
upofu
Kwa ile dawa unayonipa,maradhi nilipona
Nilipona,na sasa nalala
kwa wanaodhani ni utani
Mkono ntachora na tatu,kabisa waseme
hii ni juju
Moyo wangu nilikupa, akili yangu
Ukaiteka
Moyo wangu nilikupa,akili yangu
Ukaiteka