![Natamani](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/09/b6a91d17f1014a9db63cf5f6c8356bd4.jpg)
Natamani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Natamani - Brown Mauzo
...
eeeeh,mmmmh,onaa vile mi nilifunzwa na babu kumtunza mke kama yai asijeponyoka,onaaa nilivyofundishwa kumtunza mke kama njiwa asijetoroka,akiniudhi simpigi mangumi namchapa na kanga,amenuna nambembeleza mwisho atacheka
Eeeyi kwangu hatoliaa wanamtesa sana,bali atacheka wanamlinda sana
eeeyi kwangu hatoliaa wanamtesa sana,bali atacheka wanamlinda sana
CHORUS
tukienda bafuni ntambemba mgongoni,sungejua anawaza bali mi natamaanii
natamani(natamani)natamani(natamani)
natamani,angekua kwangu yuleee
natamani(natamani)natamani(natamani)
natamani,angekua kwangu yuleee
inaumiza sana,hii ni uzuni sana,mke Ana roho ya kupenda ila bwana hapendeki, amemfuma na wengi mara nyiiiingi
bwana atambembeleza bibi,bibi atamsamehe,wengi tunatamani bibi kama yule (kweli),wengi wanachukia bwana kama yule(kweli),wengi tunatamani bibi kama yule (kweli),wengi wanachukia bwana kama yule(kweli)
kwangu hatoliaa wanamtesa sana,bali atacheka wanamlinda sana
eeeyi kwangu hatoliaa wanamtesa sana,bali atacheka wanamlinda sana
CHORUS
tukienda bafuni ntambemba mgongoni,singejua anawaza bali mi natamaanii
eeeeyi natamani(natamani)natamani(natamani)
natamani,angekua kwangu yuleee
natamani(natamani)natamani(natamani)
natamani,angekua kwangu yuleee
mara amempiga mara amemtusi mara amemfukuza nyumbani
mara amempiga mara amemtusi mara amemfukuza nyumbani
mara amempiga mara amemtusi mara amemfukuza nyumbani
mara amempiga mara amemtusi mara amemfukuza nyumbani
hajui kupendaaaa,afanye nini(afanye nini),hajui kutunzaaa afanye nini(afanye nini)
hajui kupendaaaa,afanye nini(afanye nini),hajui kutunzaaa afanye nini