Like You Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Like You - Brown Mauzo
...
penzi lako mzani halioimiki wife material so wakikiwengine nna wewe ndo keki nliwapita kwa kasi kwako break mmmh ona m nko na we nfate nini kwngne my life tandika tulalebandika zibane my love nteke,nideke waseme kwako nimelogwa nibebe ,niogeshe uuuh no body like you uzuri wakoo no body like you uzur wako oooooh kunawakati na wish tuwewote dunia hii na kesho peponi wallah hukumiss nikiwa kitandani na ww jikoni nki pancha kwao siendagi wala sisogeagii ukitajwa moyo hudunda na mwili husisimka m na we pacha tunaendana hadi tunafanana usijeniachaa eeeeh eii niteke,ni deke waseme kwako nimelogwa nibebe niogeshe uuuh no body like you uzuri wako, no body like you, uzuri wakoo eeeeh eea (aaaah juju ju baby do me juju,zuzuzu m kwako zuzu)x2 mama juju mama juju do me juju eeeh do me juju do me jujujujuj,juju