![Aniote](https://source.boomplaymusic.com/group1/M09/C7/1D/rBEezl0swySAHwC9AABrhosjCeI470.jpg)
Aniote Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Aniote - Brown Mauzo
...
eeeh mmmh
kinachoniliza mazoea tliofanya mie na yeye
Pete yangu ulivua aa
moyoni akanitoa aa
kasahahu nilivyompenda
kwa Nini aliniacha? Aya yaya
ivi kwa Nini aliondoka aa
ooh muulinze kwa nini aliniacha ayaya
hivi kwa Nini aliondoka aa
chorus
natamani akilala aniote yeye yeye
aseme anajuta na anifywate na aje na aje
ooh Kwanza mwambie nko maututi mwenzake nje sitoki ata nikitoka labda nibebwe......
hivi kwa Nini aliondoka
ooh muulinze kwa nini aliniacha
hivi kwa Nini aliondoka
natamani akilala aniote yeye yeye
aseme anajuta anifywate na aje na aje
natamani akilala aniote aseme anajuta anifywate na aje aje
ooh