Utanizalia ft. Vera Sidika Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Utanizalia - Brown Mauzo
...
Verse
Mmmh
Aah mahaba kina kirefu nilizama
Safari imefika mwisho nlikwama
uuuuh wendyo roho yangu
uuuuh wendyo mboni yangu
Na wapa wenye misemo mtachana
na duwa njema atulinde maulana
uuuuh wendyo roho yangu
uuuuh wendyo mboni yangu
Chorus
Ulilijua utanizalia aah
leo umebeba mimba aah
kesho unanizalia aah
Inshallah ntampa zuri jina aah
mwanangu
uliahidi utanizalia aah
leo umebeba mimba aah
kesho unanizalia aah
Inshallah ntampa zuri jina aah
mwanaangu
Verse
Nigande gande kama ruba
aaaaaah, tuzeeke wawili
leo na kesho wangu wa ubavuni
tuzikwe wawili
oooh waa
ushanichanganya, ewee mwaya
niko hoi mahututi, wendyo fire
nlipagawa, nika chachawa
tulia hapa tufe wote
Chorus
Ulilijua utanizalia aah
leo umebeba mimba aah
kesho unanizalia aah
Inshallah ntampa zuri jina aah
mwanaangu
uliahidi utanizalia aah
leo umebeba mimba aah
kesho unanizalia aah
Inshallah ntampa zuri jina aah
mwanangu