Banana Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Najua mamy siko sawa
Wananiona mi chawa
Hama chama si kima ndindindi
Niga siwezi kipritenindi
Tusiwasikiize mapimbimbi
Mama acha kuchomeshaga mahindi ndi
Nipe vitu nipe vitu konki (Haaa)
Nishajizatiti kujikoki
Hama chama si kima ndindindi
Niga siwezi kipritendindi
Tusiwasikikiize mapimbimbi
Mama acha kuchomeshaga mahindi
You are so beautiful
You are my banana
Nisipokujaga machoni moyoni
Moto unawaka moto
You are my banana
My banana
You are so beautiful
You are my banana
Moto kunawaka moto
Mr uda uda come babe girl
Like hudda hudda wala usijari
Wakuda- kuda Kaa nao mballi
Wakivuruga wanakimbilia mbali
Wanachosubir kutupiga deo
Wanatamani tugombane kila leo
Hama chama si kima ndindindi
Niga siwezi kipritendindi
Tusiwasikiize mapimbi- mbi
Mama acha kuchomeshaga mahindi- ndi
You are so beautiful
You are my banana
Nisipokujaga machoni
moyoni moto Kunawaka moto
You are my banana
My banana
Moto kunawaka moto
You are so beautiful
Your my banana
Nisipokujaga machoni moyoni
Moto Kunawaka moto
You are my banana
My banana
Moto kunawaka moto
Hama chama si kima ndindindi
Kunawaka moto
Tusiwasikiize mapimbimbi
You are so beautiful
You are my banana
--- www.LRCgenerator.com ---