Kimenuka ft. Geniusjin x66 Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Kimenuka ft. Geniusjin x66 - Dogo Janja
...
Kimenuka masela uku kimenuka
(Kimenuka kimenuka) x6
Naskia kidimbwi kumejaaa (eehh)
Madem kibao mpaka hakuna pakukaa(eeh)
Yani uculize mwanangu mwanangu ni cheche (eehh) kama uko nawana shazi kavipi walete(eeh)
Tupo kibao tuna vibe na mitungi(eeh) tupo zetu kitamba tunasaga na mirungi
(Hii) kwani vipi kitambaa kumeshona? (Eeh)
Kumeshona ile mbaya tunacheza kwa step (eeh) hakuna kukanyaga waya
Oya wait one time (eeh) kuna kaps naic kamenipenda(eeh) kana kajicho alafu domo la denda(eeh) kanajivuta utazani tonge la mlenda(eeh)
Ebu Kwanza kaulize kwa mpalange kanaenda?(eeh)
Oya mwana mi naacha sigara (oohh)
Oya mwana mi naacha kulala (uuhh)
Oya mwana mi naacha bangi (uuhh)
Oya mwana mi naacha mirungi(uuhh)
Ila pombe na madem. (Noooooooo no no no)
Kimenuka masela uku kimenuka
(Kimenuka kimenuka) x6
Naskia patro nako shazi natoka kidimbwi nakamata mwendo kasi
(Eehh) mpaka dar nzima watujue hiki wezekana hata Moro tutoboe Dom-Mwanza, Moshi-Arusha kotetutimbe kama mapusha.
Ucku mmoja tuufanye kama mwaka
Tukitoka chuga hao mpaka Tanga
Hacha maneno mobu niko na manzi anapiga kaulabu 10Kvant kamaliza bado kavu,
Duh huyo nomaa mwanangu Halaa leo utaisoma kavipi mwachie uko full au homa,
Sina hata mia na nimelewa mbwii nakamata hii manzi nikachinje side B.
Oya mwana mi naacha sigara (oohh)
Oya mwana mi naacha kulala (uuhh)
Oya mwana mi naacha bangi (uuhh)
Oya mwana mi naacha mirungi(uuhh)
Ila pombe na madem. (Noooooooo no no