Yente Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Smile for me baby, yeah
Tabasamu baby yeah
Smile for me baby, yeah
Tabasamu baby yeah
Hakuna wasi mambo yente(yente)
Mama mama mambo yente(yente)
Hakuna wasi mambo yente(yente)
Mama mama mambo yente(yente)
Sijaelewa vipi kwa nini unanuna mama
Nisikize mimi hao wanakudanganya
Kachumbari hainogi bila kitunguu nyanya
Udambwi udabwi mwingi kiunoni biringa yeah
Halima, Salima, Amina
Wote nimewakataa
Mwajuma,Carolina na Fatuma
Wote nimewakataa
Smile for me baby, yeah
Tabasamu baby yeah
Smile for me baby, yeah
Tabasamu baby yeah
Hakuna wasi mambo yente(yente)
Mama mama mambo yente(yente)
Hakuna wasi mambo yente(yente)
Mama mama mambo yente(yente)
Ukitabasamu nami nitatabasamu
Unapaswa kufahamu we ni zaidi ya utamu
Kuwekaga jam ndo zao binadamu
Nakula vitamu wanasema ni vya haramu (yeah,yeah)
Halima, Salima, Amina
Wote nimewakataa
Mwajuma,Carolina na Fatuma
Wote nimewakataa
Smile for me baby, yeah
Tabasamu baby yeah
Smile for me baby, yeah
Tabasamu baby yeah
Hakuna wasi mambo yente(yente)
Mama mama mambo yente(yente)
Hakuna wasi mambo yente(yente)
Mama mama mambo yente(yente)
--- www.LRCgenerator.com ---