Pilot ft. GENIUSJINI X66 Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Pilot ft. GENIUSJINI X66 - Dogo Janja
...
You're my melody kama adamu na eva
To make history aaah uuuh
Ntachokula mi nitakula nawe
Husiwe na jealous don't be jealous oh no!
Mungu amekupa sifa sote
Iwe angani ama majini tuwe wote
Naomba nikitaka kudondoka nikokote
Kwenye mvua na baridi naomba nikumbate aiih
Mungu amekupa sifa sote
Iwe angani ama majini tuwe wote
Naomba nikitaka kudondoka nikokote
Kwenye mvua na baridi naomba nikumbate aiih
My pilot (ooh yeeeh)
Pilot (ooh yeeeh)
Niendeshe taratibu (ooh yeeh)
taratibu (ooh yeeh)
My pilot (ooh yeeeh)
Pilot (ooh yeeh)
Tutafika taratibu (ooh yeeh)
Taratibu (ooh yeeh)
Sipendi wakikutusi my queen
Nawanajua no wewe bila mimi
Mpenzi wangu zambi zako nipe mimi
Na ntakuoa mana sipendi kuzini
We ndo bibi yangu chukua moyo wangu
Soma Dm zangu
Funga zipu yangu
Pokea simu zangu
Kwako nimefika ile over (mwisho)
Kwenye mapenzi unani over (dose)
Speed mia landrovar (buum)
Nimekubali kua lofaa
Napenda ukiikalia mapaka inakupalia
Na kisauti chakudeka yani ka unalia
Mtoto unavyodekaga yani siwezi tania
Na imeshasibitishwa ni yako siwezi bania
Mungu amekupa sifa sote
Iwe angani ama majini tuwe wote
Naomba nikitaka kudondoka nikokote
Kwenye mvua na baridi naomba nikumbate aiih
Mungu amekupa sifa sote
Iwe angani ama majini tuwe wote
Naomba nikitaka kudondoka nikokote
Kwenye mvua na baridi naomba nikumbate aiih
My pilot (ooh yeeeh)
Pilot (ooh yeeeh)
Niendeshe taratibu (ooh yeeh)
taratibu (ooh yeeh)
My pilot (ooh yeeeh)
Pilot (ooh yeeh)
Tutafika taratibu (ooh yeeh)
Taratibu (ooh yeeh)
Mungu amekupa sifa sote
Iwe angani ama majini tuwe wote
Naomba nikitaka kudondoka nikokote
Kwenye mvua na baridi naomba nikumbate aiih