Nuru ft. Nandy Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Nuru ft. Nandy - Dogo Janja
...
akikaa na mashoga zake sifa kwangu mm ana dai ni mm tu mwengin wa nini.. Alivonibeautiful na shindwa kuamini minywele misingasinga macho kama jini pale penye tumetoka hawajui nawe milima na mabonde tumepigwa mawe bahari ya mapenzi nakatiza na we.... pale penye tumetoka hawajui nawe milima na mabonde tumepigwa mawe bahari ya mapenzi nakatiza na wewe..mengine ni appetite nakunyonya mpaka mi nakubite.. mengine ni appetite nakunyonya mpaka mi nakubite..make me say...
NANDI
akikaa na rafiki zake sifa kwangu mm anadai ni mm tu mwengin wa nini..alivonihansome boy nashindwa kuamini mirasta misingasinga macho kama jini..pale penye tumetoka hawajui nawe milima na mabonde tumepigwa mawe bahari ya mapenzi nakatiza na we