Shindulia Chini ft. Mimi Mars Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Shindulia Chini ft. Mimi Mars - Dogo Janja
...
star 4 manzese music baby
Jimmy X66
shindulia chini,shindulia chini,shindulia shindulia shindulia chini
shindulia chini, shindulia chini, shindulia shindulia shindulia chini

me I'm killin' dem
me I'm Quantum
Badman pond beat me I grind dem
Shindulia, ukiwa club me napenda unavyo shindulia,go down low,baby gal say shindulia,buddy bounce, buddy bounce mpaka chini shindulia
kom kom lady wacha nipapase mpaka nizame kwa mugodi
(cheki style kibao)
sio moja tu ya dog
maana unavyonigusa mpaka nameza koki
wapumbavu unawapuza
hata ukiwa dogo naamin ntakukuza
sina la kusema naeka picha yawajuza
uko na badman bway sio shalo toka buza
nitakupika utaiva ama I Will cooker
shindulia chini,shindulia chini,shindulia shindulia shindulia chini
shindulia chini, shindulia chini, shindulia shindulia shindulia chini
shindulia chini, shindulia chini, shindulia shindulia shindulia chini
shindulia chini, shindulia chini, shindulia shindulia shindulia chini
na shindulia down
nikishindwa na shindulia up
nashusha kwa chini tu, miguu naweka juu
Na shindulia mpaka sakafu ikatike
shindulia mpaka umeme ukatike
shindulia, shindulia, shindulia shindulia
nyumba imepata mkandarasi
inavyojengwa kwa mwendokasi
shindulia kama zege kwa karai
shindulia kama cement na Dari
shindulia tambua zege halilali
shindulia fundi tofari ana dai shindulia
shindulia chini,shindulia chini,shindulia shindulia shindulia chini
shindulia chini, shindulia chini, shindulia shindulia shindulia chini
shindulia chini, shindulia chini, shindulia shindulia shindulia chini
shindulia chini, shindulia chini, shindulia shindulia shindulia chini
shindulia chini