Mziki ft. Maua Sama Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Mziki ft. Maua Sama - Dogo Janja
...
Mama ameniambya nikupende wewe
Nanisipo kupenda nilaaniwewe
Mama kaniambiya nikuchunge wewe
Nami nikikuchunga unichunge nawe
Nanikiwa safarii, nakusikiliza wewe
Nikiwa namawazo, siwezi bila wewe
Ona wanavyokupenda watoto
Tena wanakupenda vijana
Ona wanakupenda wakina baba
Tena wanakupenda wakina dada
Ukitaka lala, niko hapa nitakubembelezaa!
Ukiwa nashinda niko hapa nitakuliwaza wee
Hata nikiboweka , unanipaga vibes namizuka
Nachotaka unanipa ,umeniweka juu umenikweza