
Nadekezwa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Nadekezwa - Mbosso
...
ho ho ho
ho ho ho ho ho ×2
salamu ulizonitumia , ah
zimenifikia ah
nipo salama ata usijali
nalishwa vitamu vinono najilia ah
biriani ya ngamia ah
penzi twadalikana po kidali.
nimekusahau nakumbuka tu lako jina
kidogo angalau kung'oa mizizi sio kukata shina
penzi wakapanda dau
mjini baba pesa fitina
vile ukanidharau, visenti haba mfuko umechina
na ndo uwezo wangu ulipoishia
ningekupa nini tenaaa
kula yangu ya kupapasia
kukumeza ukatema
mi sina gari
ningekupa nini tena ,oohh
kukumeza ukatemaa
chorus:(nadeke ,nadekezwa ×3
nadeke ,nadeke ) ×2
yaani mashamsham mtoto kanikabiri oohh
hadi nakampan kumi na mbili alfajiri ,oohh
na nishamvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi.
kanjaza kanchota , kanshika pabaya
nakutaadharisha simu za usiku punguzaa
unahatarisha penzi langu moto kuunguza
nishakusahau nakumbuka tu lako jina
kidogo angalau kung'oa mizizi sio kukata shina
penzi wakapanda dau
mjini baba pesa fitina
vile ukanidharau, visenti haba mfuko umechina
na ndo uwezo wangu ulipoishia
ningekupa nini tenaaa
kula yangu ya kupapasia
kukumeza ukatema
mi sina gari
ningekupa nini tena ,oohh
kukumeza ukatemaa
chorus:(nadeke ,nadekezwa ×3
nadeke ,nadeke ) ×2