Tamu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Tamu - Mbosso
...
Aiyo laizer
Aah kasuku mwenye Sauti nyoronyoro
Mususu ya solo dombolo
Na bando letu la buku twaperusi mpaka tomorrow
Mambo iko huku penzi twalila kwa soro
Mmh anipelekesha msobemsobe kama fuso la panda mlima
Na nilivyo fundi kuchelewesha kobe kobe simpi dusko nzimanzima
Aah mkoroge sumu mnywe kwenye vijiba vya roho yatawatoka mapunye muumwe kwashako
Tena wavibe na wanune ishakuwa yako itafune imumunye ifike Kuna koo
Ooh bebi
Nikushika kiuno tamu
, nikuchumchum tamu,
Nikikukumbatia tamu, tamu kolea,
penzi letu bebi tamu,
yani mpaka kisogoni tamu, tararara tamu, tamu kolea
Beibe tufanye waziwazi watuone picha weka DP na makopakopa caption
Beeibe, walo kosa kazi wanongone wapandisha BP wapumue kwa oxygen
Waambie vimberumberu sio penzi la mashaka
Tushasoma dua kusitirika kwa wenye macho ya paka
Waambie mimi beberu si jogoo la pasaka
Wanajisumbua kukunjanita watazeeka mapema
Steel wire anasugua kwa makovu kovu
Hanaga mbaya, la mzizi show bovu bovu
Tena fundi mwaya kazi anaijua my lovu lovu
Haijawai kupwaya yani kidhi
Chorus
Bebo, bebi mtoto kangu kasimama dede
Nimtazame kasimama dede
Mwana anatembea kasimama dede
Yani tete anataka kingate kasimama dede
Kaona kitumbua kasimama dede
Amekuwa baba kasimama dede
Yani tetete
Wasafi