Fall Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Fall - Mbosso
...
pendo limenizidia acha niseme niseme
dozi imeniingia baby sheteme sheteme
hapo hapo shikilia mwaego ndo penye ndo penye ngoja subiria baby ni heme ni heme
dereva wa Moto wangu usinipeleke puta puta(puta)
taratibu mwenzangu penzi njia yenye matuta(tuta
amepinga nimepinga penzi hamuezi futa(futa)
nakula kwa Raha zangu nyama mpaka fupa(fupa)
kisura cha upole kama mama yangu
taalalalalala
unifunde kwa mpole uwe sumu yangu