Sitaki Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Sitaki - Mbosso
...
Mimi wewe mimi ntakufa na wewe
Mimi wewe mimi ntakufa na wewe
Ni baraka za mungu na malaika
Zimefanya mi nawe tujuane
Sinashaka maana imeandikwa
Ndege warukao wafanane
Sisikii la muadhini wala lamnadi swala
Tumelishana yamini kwa dua sio kafara
Sio wantuzi tisini wala buku shidala
Mambo yakuzini zini tuwe halali twahara
Kama mapenzi ugonjwa wa macho mi kabisa kengeza
Na kama changuoni ndo kikulacho mi kwangu kanimeza
Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
Ngamia wangu anifaae jangwani
Nimemuombea dua tusiishie njiani
Ngamia wangu anifaae jangwani
Nimemuombea dua tusiishie njiani
Ooh usingizi wangu zeze la kitandani
Nimemuombea dua tusiishie njiani
Ngamia wangu anifaae jangwani
Nimemuombea dua tusiishie njiani
Kama mapenzi ugonjwa wa macho mi kabisa kengeza
Na kama changuoni ndo kikulacho mi kwangu kanimeza
Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
Aiih makopa kanimwagia makopa jama
Aiih makopa kanimwagia makopa jama
Ma ma ma ma kanimwagia makopa jama
Aiih makopa kanimwagia makopa jama
Mwa mwa mwa kanimwagia makopa jama
Aiih makopa kanimwagia makopa jama