- Genre:Afropop
- Year of Release:2018
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Sikomi - Diamond Platnumz
...
"Sikomi" - Diamond Platnumz
Wanasemaga mapenzi safari
Unavyopita ndo jinsi unajongea
Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea
Niliposikiaga Habari
Yakisifika nikakesha nangojea
Akabariki Jalali na nikawika muziki nikauotea
Ile pruuu mpaka Macca
Nikadandiaga Bongo movie
Kumbe mapenzi hayataki haraka
see lyrics >>Similar Songs
More from Diamond Platnumz
Listen to Diamond Platnumz Sikomi MP3 song. Sikomi song from album Sikomi is released in 2018. The duration of song is 00:03:53. The song is sung by Diamond Platnumz.
Related Tags: Sikomi, Sikomi song, Sikomi MP3 song, Sikomi MP3, download Sikomi song, Sikomi song, Sikomi Sikomi song, Sikomi song by Diamond Platnumz, Sikomi song download, download Sikomi MP3 song
Comments (218)
Top Comments (1)
adamizow
New Comments(218)
Sulaiman Sakariyau4554
Reject poverty the rich ones's don't have two heads so think wisely today so your children will not die in poverty..... reject poverty today if you are ready to make money without human being blood or part call or text me 07012865042

Angel Priscus
[0x1f609]
masilano
legend
shanierhpfd

shanierhpfd
2024 niko apa
[0x1f621][0x1f621][0x1f621][0x1f621][0x1f621]
Anold xpower

Never trust nobody jamani.. ladies of now days they are all fully of crafts evn the one has got married
Me6xfz4
hey my friend
Ahabwe Dorothy jfiq3
mapenz duh[0x1f653][0x1f653][0x1f653]
mohamedi ALLI romani
na hatuwezi kukoma kamwe labda hawa wadada wafeeek[0x1f607][0x1f631][0x1f631]
mengi bruno
[0x1f624][0x1f624][0x1f624][0x1f624]mapenz duh
Wanasemaga mapenzi safari Unavyopita ndo jinsi unajongea Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea Niliposikiaga Habari Yakisifika nikakesha nangojea Akabariki Jalali na nikawika muziki nikauotea Ile pruuu mpaka Macca Nikadandiaga Bongo movie Kumbe mapenzi hayataki haraka Ni kama tango natia tu chumyi Mwenzenu nikaoza haswa Na kujitia kitandani mjuzi Eti nataka fukuza paka Badala ya mbwa nikafuga mbuzi Hhhmmm Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki Moyo ukanambia Nasibu sasa mapenzi basi Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi Esma ananiambia mdogo wangu mapenzi basi Ila nang'ang'ania Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine Ooh mbona sikomi Sikomiii Sikomi Licha ya mateso haya Najiuliza (oh sikomiii) Oh sikomi mbona (Sikomiii) Mbona jamani Sikomi Licha ya mateso haya Hhhhmmm Aliyonifanyia wa central Haki ya mungu siyawezi sema Ila nimejifunza kesho nisiwaamini wacheza sinema Moyo walinipatia mateso Siwezi kumeza siwezi tema Ndio maana sikushanga ile ghafla Toka CCM kwenda CHADEMA Wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie Nikajitia ukamanda yatakwisha Wacha nivumilie Kila kiza kikitanda Ndo visa machozi me nilie Penzi yakatia parapanda Kuwaita waje washambulie Aah Acha na penny we gari Nilio muhongaga gari aliponambia ana mimba Mwisho wa siku akaichomoa chaliiiii Mola akanitunuku Zari Akanzalia dume na mwali Niliyvo mjinga nikacheat aibu mpaka Kwa vyombo vya habari Moyo unanambia Nasibu sasa mapenzi basi Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi Lizer ananiambia simba mapenzi basi Ila nang'ang'ania Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine Ooh mbona sikomi (mboooona) Sikomiii (mbona jamani) Sikomi Licha ya mateso haya Eh Nishafumania (oh sikomiii) Nikafumaniwa mimi (Sikomi) Nishagombana na watu (Sikomiii) Licha ya mateso haya (Mateso haya)>