![New Couple](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/17/8aeb650d36ee41dfa928ff7260143684.jpg)
New Couple Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
New Couple - Nandy
...
........
Nilipenda kuona Vanessa na Jux
Mara ghafla ikatokea nuksi
Sikuwaona tena wakatengana
Aslay nilizoea kumuona na Tessy
Yakatokea mazito sio mepesi
Wakatengana tena
Nilitegemea kumuona Harmo na Sara
Wakiendelea
Mambo yamebadilika namuona Kajala
Ila nawaombea
Nilitegemea Kusah na Ruby
Wakiendelea
Mambo yamebadilika namuona Aunt Ezekiel
Mtoto wanamlea
Aah new couple
Kila siku inazuka new couple
Aah new couple
Kila siku inazuka new couple
Mlikuwa nice couple
Harusini ningekuja
Na zawadi ningetoa eeeh
Eti Queen darlin
Wamwonea wivu wa nini
Ukiwa mke wa pili jiamini
yeee mmmmh
Pet man na Esma mambo mmeyamaliza
Inamkera Msizwa
No no nooo
Mlitegemea kuniona mimi na Nenga
Tukiendelea
Mambo yamebadilika na simuoni tena
Ila namwombea
Mlitegemea Fahyma na Ray
Wakiendelea
Mambo yamebadilika yaliyofuatia
Sisemiiii
Aaah new couple
(new couple )
Kila siku inazuka new couple
(new couple oooh)
Aaah new couple
(new couple eeeeh)
Kila siku inazuka new couple
(couple new couple eeeeh)
Love doesn't ask why
Let's love, enjoy and celebrate
Kila siku inazuka new couple
mmmmmh
It's all about love
Lyrics by Dorie