Utaniambia Nini? Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Utaniambia Nini? - Professor Jay
...
qwenye muziki nilianza kabla yako shahidi mamayako utanambia nini Kama Bata nimekula zaidi yako acha ngojela zako utanambia nini Kama ngambo tulitimba kitambo kitambo kabla yako utanambia nini mjengoni nilikua na baba zako wengine mamazako utanambia nini nipe heshima yangu ama niichukue na nguvu nipe heshima yangu ama niichukue kwa nguvu sanah no Kaz sio Chaka la maovu ukiongelea nyota so qwe2 so galakali game inasafari hapo tumeitoa mbali muziki huu umenfanya niwe mbunge nisimame imara ni kumi Kama bolingo Imani yangu ilinifanya nishindenashukuru mwenyezi na zaidi naombä unilinde na Siri nyingi nyeti Kama taulo la gesti uki ni delete wenzako Wana request nilisha sema ngoma ya watoto haikeshi Leo j ina mada nakumalizia kesi watoto Wana vimbakama wamelidhwa Amira mwanaume pisi Kali mashauzi Kama Jamila trendy Ina Mana Yani Kama mnapoteza bla muziki ajira? unanipandisha hasira kwenye muziki nilianza kabla yako shahidi mamayako utanambia nini Kama Bata nimekula zaidi yako acha ngojela zako utanambia nini Kama ngambo tulitimba kitambo kitambo kabla yako utanambia nini mjengoni nilikua na baba zako wengine mamazako utanambia nini mbakuja mnavuma nakupotea Kama upepo iki kipaji hazina haja ya maisha ya kesho wengine mnaunyea mkono siukati Bali na uosha najua mkikua mtajua wapi mlikosa mnasahau kichwa Cha kuku daima hakibebi mzigo sasa vipi jina dogo leo mnaanza zogo kinywa Cha mzee kinanuka na maneno yake yanaponya na yanaponya Kama unajicho la tatu ona chezea mshahara dogo usicheze kazi kabla hujansema jichoni mwako toa kibali wengi mnajipa wanaharakati kume waoga Kamwe kunguru hanenepi kwa jalala moja watoto Wana vimbakama wamelidhwa Amira mwanaume pisi Kali mashauzi Kama Jamila trendy Ina Mana gani kama mna mnapoteza bla muziki kwe2 ajira ujuaji unanioa hasira kwenye muziki nilianza kabla yako shahidi mamayako utanambia nini Kama Bata nimekula zaidi yako acha ngojela zako utanambia nini Kama ngambo tulitimba kitambo kitambo kabla yako utanambia nini mjengoni nilikua na baba zako wengine mamazako utanambia nini sikubali wanitune Kama remote control noh I make sure everything remains role najitia kafara nife machozi mengi machoni badala fedha nyingi mfukoni