Woman ft. Victoria Kimani Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Woman ft. Victoria Kimani - Professor Jay
...
nilishatendwa sana nilishachekwa sana nilishakesha sana nikimlilia maulana nilishatekwa sana na nitego ya wasichana nilishachimbiwa shimu wakiamini nitazama aah ni perfect kombo mfano has na chana nachoweza kusema amini nakupenda sana wengine majungu mtaji ndio maana wanachonga sana nimepungwa kwa ajili yako we ni wangu tulia mama mpole,msikivu,mkweli,mvumilivu una mapenzi ya dhati kwenye shida mstamilivu una malengo chanya mcheshi na mwaminifu mahaba ni teketezi chini juu sio mvivu unastahili tuzo tulia tule mbivu pokea hii nishani kawachome wenye wivu my general kwako nakiri mm ni kuruti naweka selaha chini please pokea salute
respect the woman protect the woman and love your woman oh mama oh sister eeh where would i be without your love oooyeeh where would i be without your love when im hungry you cook for me oh mama when I'm running and you look for me oh sister when I'm hurt and you hold for me oh mama everyday you love I'm in love respect the woman protect your woman love your woman oh mama oh sister eeh
unastahili heshima ya mazenge ishirini na moja uliniokoa sana nilipoonekana nihoja tangu nimekua nawe umebadili maisha yangu kwenye shida na hara umekua kabiru yangu kila nikiteleza umekua msaada kwangu kila mvua ikinyesha umekua mwavuli wangu kila jua likiwaka umekua kivuli changu na kila kwenye majonzi umekua furaha yangu asante sana giza totoro we ndio candle mungu atuongoze vyema pamoja tutunze family ni binadamu najua hatujakamilika tumuombe mungu tupatakapo tutafika sitokuacha kiangazi hata masika iwake jua inyeshe mvua nitafika nitaitika popote utakapo niita na mwisho nakuahidi kamwe sitobadilika respect the women protect the woman and love your woman oh mama oh sister where would i be without your love ooyeeh where would i be without your love when I'm hungry you cook for me oh mama when im running and you look for me oh sister when im hurt and you hold me oh mama everyday you love im in love respect the woman protect the woman and love your woman
tuna mengi tumeyavuka (oh mama) mabonde kupanda mara kushuka tumekata misitu jangwe na nyika nimepita kote kwako najikita
where would i be without your love when I'm hungry you cook for me oh mama when im running and you look for me oh sister when im hurt and you hold me oh mama everyday you love im in love im in