Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2020

Lyrics

Wanasema tuna njaaa...

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa..

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa...

Sio kweli

Wanasema tuna njaaa...

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa...

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa...

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa...

Sio kweli


Vijana hawapigi kazi

Wakipata wanaza mavazi

Vizazi mpaka vizazi...

Unatuaribu utandawazi...

Mtaani wanabweteka facebook,insta zimewateka...

Hekari juu ya hekari za shamba zinateketea ....ahh

Atuoni soo.suruali chini ya makalio

Binti anatafuta umaarufu viungo wazi wazazi vilio...

Mfukoni hakuna salio

Vyuma havilainiki tunajutia huu ujio

Hapa kazi tu

Ukibisha sema suu

Muda si mrefu utauza baiskeli utembee kwa miguu...

Mwanafunzi heshimu boom

Baba mkopo usihujumu...

Nyumba itapigwa mnada utafute nani wa kumlaumu....

Mmh..! Mh..!Mmhh....mhh...


Wanasema tuna njaaa...

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa..

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa...

Sio kweli

Wanasema tuna njaaa...

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa...

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa...

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa...

Sio kweli


Stuka amka wake up

Weka fuba la kutosha kwa Mkeka

Lia vumilia kesho unacheka

Wengine wanapatana wengine wana Break Up

Wake Up. Wash Up. Rise Up and shine bright oh yeah

Pambana mdogo mdogo tu utasogea

Wengine wako Single wengine wako Pair

Kila Time napigika maisha Hayako Fair

Maisha Ya kiswazi Mswaki tunashare

Ndala Kitu gani Peku natembea

Tangu chekechea tunajitegemea

Ila hatukati Tamaa. Siwezi kulala Njaa

Bila mabawa napaa

Baraka Nyingi From Jah

Ukiniona Kama Kichaa Piga Picha

Kesho am The reachest Still Young

Siwezi Kuacha mishe mishe ni Addiction!

Siwezi Kuacha mishe mishe ni Addiction!


Wanasema tuna njaaa...

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa..

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa...

Sio kweli

Wanasema tuna njaaa...

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa...

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa...

Sio kweli

Wanasema wanasema tuna njaa...

Sio kweli


Sio kweli

Sio kweli

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status