Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2020

Lyrics

Naf Yeah

You Know What

Remix

Mongi Records

Yeah

This is the Remix Man


Wangejua long time, wasingeleta pozi

Wangechangamka kutusua ila wamepata loss...

Walitaka wasiwe ndembe yanini wachezee koki

Wanaleta za Tom and Jerry bongo Joti, Mpoki

Kuzaliwa mtaani, aimanishi una mkosi, ah ah.!

Ukijifungia ndani, kwa mungu Piga goti. ah.Ah.!

Ukiwa chocho za mtani,hakiki mifuko ina noti

Kuna wanaovimba mtaani na msosi wanaunga doti. Ha, ha.!

Nasaka dough... sina pozi... ndio maana... nipo race mtani

Wanaona soo... ninavyoflow... nipo seriuz na sio funny...

Kuwa goi nasema no,na siji ilaumu serikali

Lakini form four wewe ni high learning na unakaa nyumbani

Pumzi visa, uhai leseni naona mwanga sio kiza

Wamenipa visa wamenipa visa,braa, braa

Swaga nyingi haters wanadai nimepitiliza

Wamenipa visa wamenipa Visa, ha, ha, ha ha.!


Mimi nina mi ninapiga flow

Mimi nahastle nipate dough yeah

Nakaza Mi navuja jasho nipate kula nishike salary yeah

Life hainicontrol, kwangu ina bao bila Mikazo Yeah

Kimbiza mbiza mi nafanya leo Ugali kesho ni wali, yeah.!


Napata Raha, napata Nataka Raha

Life is so Good, napata raha

Nahastle ili nipate raha, hastle


Napata Raha, napata Nataka Raha

Life is so Good, napata raha

Nahastle ili nipate raha, hastle


Nahitaji muda kwa hakika

Sitopenda sink kwenye weed ama liquors

Sitaki use a lot of energy niimbe mautumbo nitafeli kabisa

Kama nikikata tamaa wadogo kwangu watakata mauno hadharani

This is not funny

That's how the game goes for the fame sio utani yeah

You have my number not my attention don't get confused

You tried to hate you've failed

You like the things I do

Too many calls and texts

Yooh nigga nani you

Blunt stoner? Naf call the cops

He's selling ndumu

Hustlers never give up chozi la mnyonge huleta bao la ushindi

Muziki kifikra ni ngumu league

Hatua ya makundi ni studio

Mtoano ni kwa radio

Robo final Acapella bro

Nusu final your performance yooh

And your final mapokezi yeah


Mimi nina mi ninapiga flow

Mimi nahastle nipate dough yeah

Nakaza Mi navuja jasho nipate kula nishike salary yeah

Life hainicontrol, kwangu ina bao bila Mikazo Yeah

Kimbiza mbiza mi nafanya leo Ugali kesho ni wali, yeah.!


Napata Raha, napata Nataka Raha

Life is so Good, napata raha

Nahastle ili nipate raha, hastle


Napata Raha, napata Nataka Raha

Life is so Good, napata raha

Nahastle ili nipate raha, hastle


Mongi Records


Hastler

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status