Juu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Mmh!
I feel blessed
Blessed
I feel blessed… heal
Mmh!
Mmh!
Anifae kwa hali
Hawezi niacha mbali
Kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Anifae kwa hali
Hawezi niacha mbali
Kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
Ndio maana nipo full
Ukinicheki usoni macho tayari ya blue
Na mood ipo full kama nimekunywa redbull
Mpaka hautofautishi kati ya Ebebé na Abdul
Kila siku breaking news
Na sijawai kuloose
Kwenye list ya do do do and do
Kwangu hakunaga upuuzi
Wanangu wanapendaga kuniita mzee wa michuzi
Junior, beka flavor, DJ mwanga breaking news
Nalegezaga fuse
Mpaka wanajiconfuse
Haunikosi kwenye top 10 kila wanapoperuzi
Wanangu wanamizuka huwa nawaita my goons
Hauingii kwenye my house party kama suijakuchoose
Utaishia mlangoni ndani hatutaki upuuzi
Wanangu huwezi wagusa kila mmoja ana maujuzi
Wangangu huwezi wagusa wanachezaga kung fu
Wanangu ni mbwa mwitu huwa wanabweka woo huu!
Anifae kwa hali
Hawezi niacha mbali
Kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Anifae kwa hali
Hawezi niacha mbali
Kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Flow kali zinang'ata bila meno
Waachie waingie mtaani wanangu mliowafungia cello
Mitaa imewamiss wakirudi akili itasettle
Tandale, ukonga, keko ngumi mkononi sio beto
Pongezi kwa wahitimu ya degree kutoka ghetto
Ubaya kwetu mbolea tuchukie tucheze eko
Ubaya more fire na tunayajua mateso
Bora Tuishi kwa Amani kwani hakuna ajuaye kesho
Na usijikute special
Kaka futa izo level
Weka ubani weka jamvi tukamlani uyo devil
Unang'atia magego chawa pro baba level
Wanangu hawakai bure wanazisaka izo peso
Wanangu wanafuta jasho na mifukoni hawana leso
Wanagu sio wanao na huwa hawatembei peku
Hatuchezagi rough na umoja ndio ngao yetu
Tupe mechi Kitu kimiyani huwa tunacheza eko
Anifae kwa hali
Hawezi niacha mbali
Kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Anifae kwa hali
Hawezi niacha mbali
Kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"
Najiona juu
"JUU"