
Khali champlin/KASUKU Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Ehehehe Mazishi
Khali Champlin
Inabidi Uwe Unarespect na Zzuanga
Tamba huko huko pande zetu uwezi tamba
Tamba huko huko pande zetu uwezi tamba
Kwetu mkali nyash bar zako hazina maana,
Rapper hauna Cash Mpaka crash zinakukataa
Umechokoza Nyuki manundu ndio wako mshahara
Umekosea chocho Kaa chini vua mkanda
Aya ni mazishi, yale yale uliyoyandaa
Tumekutumia Pisi Rosa ree amekukanda
Umesikia disi ya Orbit moto umewaka
Na kama haujajua brother hii ndio Zzuanga
Ukirespect OG inabidi uwe unarespect na hii sasa
Uko mnaweza siasa, huu muziki kwenu anasa
Hatuogopi Body Izo tunazitia vitasa
Acha kujichubua na kuvaa body tight
Na izo tatoo feki utachora hadi love bites,
Rudi ukajenge kwenu Mama Khali anakuitaji
Unapost magari ambayo tumeyasahau parking
Omolo kwisha kazi Jifunze kiswahili safi
Kisha njoo na magoti kasuku ukiomba radhi
Mabrother wamekumind huu muziki unakazi
Mpaka kuitwa legend kimsingi inahitaji utashi
Octopizo anacheka umeyakanyaga mnywa ulanzi
umepanda mabua unasubiri vuna mbaazi
Tuzo bila wabongo usingepata chunga mzazi
Una Msuli bila Boxer unang'ang'ania kwea mnazi
Usisahau uliomba tagi, Hashitag twitter party
Leo una brag about you made it Fuck every body
Moment of Fucking silence we turn him to dead body
Leo ndio utajua simba ana body guard
Chui anabord guard Tembo ana body guard
Kiba hana ata mlinzi utu ndio unamlinda mtaani
Sasa Mbona Unapanic Haujaimaliza Kazi
Au Hauna Kazi Basi Tukupe Kazi
Mobeto Giggy Sepetu Huwawezi hao dada Zetu
Na kwa kukufaa tu Chunga Brother Usicheze Peku
Braa Braah Mtandaoni jioni unaomba kula kwetu
Dis Dis hao hao usicheze na mziki wetu
Round hii hautoboi Ata ukimbilie Cheketu
Bongo maji yalipoa ilishazama hadi Titanic
Iddi Amini hakuamini mpaka historia aimtaki
Kabla hujadis make sure umepiga mswaki
Rudi nyumbani kahakikishe familia ipo happy
Sio unakuja front alafu mgongo upo wazi
Mwili Puto dawa yake nyembe beki hazikabi
Wenzako wamekula kona umebaki huna tagi
Aya sasa kiko wapi, Kwenu wanao hawakutaki
Bora Ungeshow love tusingefikia hapa basi
Unao watambia wewe Mkali Wote Milo ya Manati
Wanakusifia uongo mpaka unajiona King Mswati
Usidanganyike na Like Machawa watakutia ndani
Na hiko kiingereza Kingi kwetu ushamba hatubabaiki
Tamba uko uko pande zetu usiweke Kambi