Kitu (Zzuanga Style) Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Yeah,
Wengi wameshapoteza nia kwa mtaa
Mwengine akijitupia hawezi kaa na njaa
Kichwa kibovu akajipakia ndio ataganga njaa
Marley alishaisifu ni Zaidi ya kushinda Bar,
Kijana chunga sana fanya hii kitu kwa ufasaha
Mjeshi gani huzama vitani bila silaha
Hii kitu sio haina maana punguza tamaa
Sio kila unachokiaona ni sahihi kuzimia taa
Alishasema baba
Akarudia mama
Ilikuwepo toka zama
Chunga sana maji ya moto yasiunguze ujana.
Hii kitu hii kitu hii kitu Hii,
Ndio imewafanya miiko hawaithamini
Hii kitu hii kitu hii kitu Hii,
Ndio chanzo cha matatizo ya jamii
Hii kitu hii kitu hii kitu Hii,
Ndio imewafanya miiko hawaithamini
Hii kitu hii kitu hii kitu Hii,
Ndio chanzo cha matatizo ya jamii
Ramani ipo wazi ndani ya jumba la Sanaa,
Shika lako utimize kitachokufaa,
Hawa hana amana nnje wanyama wakali,
Imani kaitupia mbali,
Kama umebugi ukajiwahi usijutie msamaha
Maisha ya mtaani hayacertify mjini ushangae
Na bibi nyumbani wanasubiri ugali,
Je alaumiwe nani
Jipe moyo kaza
Usitegemee msaada,
Kama kigingi panda,
Chunga sana unayofanya kwa jaa yanaonekana
Hii kitu hii kitu hii kitu Hii,
Ndio imewafanya miiko hawaithamini
Hii kitu hii kitu hii kitu Hii,
Ndio chanzo cha matatizo ya jamii
Hii kitu hii kitu hii kitu Hii,
Ndio imewafanya miiko hawaithamini
Hii kitu hii kitu hii kitu Hii,
Ndio chanzo cha matatizo ya jamii
Hii ,
Hii ,Hii
Ndio chanzo cha matatizo ya jamii