Aibu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Aibu aibu aibu aibu wanatuonea aibu
Aibu aibu aibu wanatuonea aibu
Aibu aibu aibu wanatuonea aibu
Aibu aibu aibu wanatuonea aibu
Wamefume Hawatumudu
Game Ngumu Maskoff Tunadumu
BBN Bongo Bahati Nzuri Juu
BBM Bongo Bahati Mbaya Buu
Wanatuzoom Wanatuzoom
Hatuonekani Chini Kumbe Tupo Juu
Wanahujumu Wanahujumu
Wanahujumu mchezo Refer yupo Cool
Wanalahumu Hawavuti Pumzi
Tukifanya yetu tunawabuguzi
Kazi kazi Haturushi Ngumi
Ngazi kwa ngazi Mongi Records Kampuni
Wanaperuzi wanaperuzi
Kwenye Page zao sisi ndio bad News
Mtani wakombozi Kwao wachokozi
Chetu tukidai wanatutanulia Body
Aibu aibu aibu wanatuonea aibu
Aibu aibu aibu wanatuonea aibu
Aibu aibu aibu wanatuonea aibu
Aibu aibu aibu wanatuonea aibu
Hahaha!
Mongi Records
Zamu yetu Ipo Live
Tayari tupo Online
Mikataba Tusign Tutusue Kiulaini
Wako Wapi Wanaotamani Tukosee Tupigwe Fine
Tufulie Tukose Amani Tupotee Kwenye Ramani
Aya, yah Tayari Tupo Uwanjani
Aya, yah Simu wamechange Line
Tuwapigie Hawapatikani
Sasa Tufanyeje Tuwaibukie Haijulikani
Wapi wanapoishi Tuwazukie Haiwezekani
Achana nao
Tukaze kamba Tuendelee kupiga Bao
Ulinzi tunao Mikuki na Ngao
Ushindi taswira yetu hatuchezi foul
Wakikamatia chini tunadeal nao
Mwaka huu wao Hakuna chao
Achia Body kama wewe ni Timu Mabao
Sogea Pembeni Wewe ni Timu Mshangao
Achia mikono wewe ni Mtafutaji Town
Kaa Pembeni wewe ni Mzururaji Mtaani
Sogea Karibu Anza Kuwahesabia Mafao
Rudi ukasake kama hauna hata pound
Kaa Kushoto Umemeza Mbegu ya Mazao
Majembe yangu Ndio Nayoenda Sawa Nayo
Aibu aibu aibu wanatuonea aibu
Aibu aibu aibu wanatuonea aibu
Aibu aibu aibu wanatuonea aibu
Aibu aibu aibu wanatuonea aibu