![Tumaini Lipo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/17/f4e71fe0ea1e4f54b535f5dea78e4b8c.jpg)
Tumaini Lipo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Tumaini Lipo - Erick Smith (KE)
...
Tumaini lipo
.......
Dunia hii imejaa
shida matatizo
magonjwa yasiyo na tiba
yasumbua ulimwengu,
uchumi naona wadidimia twashindwa tufanye nini
uuuh, aaaha
wengine wetu kazi tumepoteza na lazima tuhuzunike
wengine watu kazi tumepoteza na lazima tuhuzunike
Mola ni wewe tu twategemea
tukiwa na wewe kuna hakikisho tutashinda×2
ni kwako tu twategemea
(uuuuh tumaini lipo)tumaini lipoo ooh
(najua huwezi tuacha bwana) tumaini lipoo ooh.
(hata kama shida zitatukumba) tumaini lipoo ooh
(hutatuacha Bwana) tumaini lipoo ooh
(tunachoomba ni wewe tu uwe nasi)
twajua kila siku yaja yei, na mambo yake
lakini upendo wako juu yetu twapata tumaini
shida zinazotukumba hazina nguvu tena,
maana najua msalabani( msalabani)
ulibeba yote( ulibeba yoote Bwaana oooooh)
wengine wetu kazi tumepoteza na lazima tuhuzunike(kazi hatuna)( Bwana Twashindwa tufanye nini)
wengine wetu kazi tumepoteza( kijana Huyo hana pesa ya kulipa rent) na lazima tuhuzunike
wengine wetu vibarua pia hatuna Baba, na lazima nihuzunike
wengine wetu mishahara imekatwa, na lazima
Mola ni wewe tu twategemea
tukiwa nawe tuna hakikisho kuwa tutashinda
Tumaini lipo
aaahhaa
tumaini lipo, tumaini lipo lipo, bwana tukiwa nawe
tumaini lipo, amani tunayo furaha tunayo Bwana
tumaini,
aahaahaahaa
"tumaini lipo"