![Patakatifu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/0F/62/rBEehlsOcHCALwIyAACiyX1vAUs403.jpg)
Patakatifu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Patakatifu - Erick Smith (KE)
...
Ooh Bwana Yesu ninakuhitaji maishani mwangu
Yesu usiponisaidia ni nani mwengine
Hallelujah
Patakatifu pako hapo ndipo nahitaji
Mahali pa maana juu ya yote
Katika mikono yako mimi najiweka
Nizunguke mimi na uwepo wako
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Ninachohitaji Yesu ni kufurahisha roho yako
Wewe rafiki mwema uliyenipenda
Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa
Bwana wewe Yesu huyashinda yote
Ninachohitaji Yesu ni kufurahisha roho yako
Wewe rafiki mwema unayetupenda
Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa
Bwana wewe Yesu huyashinda yote Bwana
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
(sioni mwengine sioni mwengine Baba)
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Ooh Yesu neno lako lasema siku moja katika utukufu wako yazidi miaka yote duniani
Yesu nisaidie kuwa katika utukufu wako siku zote za maisha yangu
Nahitaji mkono wako
Niongozwe na wewe Bwana
Kimbilio msaada wa karibu ni wee ni wee ni wee
Nahitaji mkono wako
Niongozwe na wewe Bwana
Kimbilio msaada wa karibu ni wee ni wee ni wee
(hakuna mwengine)
Nahitaji mkono wako
Niongozwe na wewe Bwana
Kimbilio msaada wa karibu ni wee ni wee ni wee
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu