![Si Ya Kawaida](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/0F/62/rBEehlsOcHCALwIyAACiyX1vAUs403.jpg)
Si Ya Kawaida Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Si Ya Kawaida - Erick Smith (KE)
...
Ahsante Yesu
Nilikuwa wa kudharauliwa
Ukanipa heshima Bwana
Sijui niseme nini!?
Hakuna chochote kile
Ninaweza jivunia isipokuwa Neema yako
Nilikuwa wa kudharauliwa
Ukanipa heshima Bwana
Sijui niseme nini!?
Hakuna chochote kile
Ninaweza jivunia isipokuwa Neema yako
Usingelikuwepo nisengekuwepo
Nisingelipata mimi upendo kama wako
Kuna Neema si ya kawaida
Imenitoa kwa laana
Hakuna chochote
Ningefanya mimi
Ili nikubaliwe na Mungu
Damu yako ya dhamana
Imeniepusha na hukumu
Rehema upendo zimeniwezesha
Kuingia kwa baba
**
**
Usingelijitoa ningekuwa wapi?
Kwa kupigwa kwako tumepona
Umebeba mateso
Shida zote Msalabani ukasema kuwa
Yote yamekwisha eeeh
Yesu we
*
Usingelikuwepo nisingekuwepo
Nisingelipata upendo kama wako
Yesu wee
Kuna Neema si ya kawaida
Imenitoa kwa laana
Hakuna chochote
Ningefanya mimi
Ili nikubaliwe na Mungu (Bwana Ningefanya nini?)
Damu yako(Leo mimi) ya dhamana(nimesamehewa dhambi)
Imeniepusha na hukumu (leo nimehesabiwa haki mimi)
Rehema upendo Rehema zako Bwana) zimeniwezesha
Kuingia kwa baba(naweza kwenda kwa baba )
Kuna Neema si ya kawaida
Imenitoa kwa laana
Hakuna chochote
Ningefanya mimi
Ili nikubaliwe na Mungu
Damu yako ya dhamana(sababu yako Bwana)
Imeniepusha na hukumu (oh nimesafishwa mimi)
Rehema upendo zimeniwezesha (kwa Neema yako)
Kuingia kwa baba
Kuna Neema si ya kawaida
Imenitoa kwa laana
Hakuna chochote
Ningefanya mimi
Ili nikubaliwe na Mungu
Damu yako ya dhamana
Imeniepusha na hukumu
Rehema upendo zimeniwezesha
Kuingia kwa baba
*