![Namba Moja](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/0F/62/rBEehlsOcHCALwIyAACiyX1vAUs403.jpg)
Namba Moja Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Namba Moja - Erick Smith (KE)
...
Namba moja
Namba moja amenipa amani namba moja
Haleluya ee
Namba moja
Namba moja amenipa Amani namba moja
Namba moja Yesu namba moja
Namba moja amenipa Amani namba moja
Nilitafuta Amani Dunia nzima
Mimi siku pata Amani
Nilienda kwa waganga sikupata amani
Mahali pote nikitafuta amani
Nilipanda milima Nika Shuka mabonde
Mimi sikupata amani mimi
Nilipokuja kwako Bwana Yesu nikapata amani
Furaha moyoni Bwana...
Namba moja namba moja
Namba moja Amenipa amani namba moja
Namba moja Yesu namba moja
Namba moja amenipa amani namba moja
Yesu wangu(namba moja)
Amenipa amani (namba moja)
Ameniokoa (namba moja)
Amenibariki (namba moja)
Yesu ananijali (namba moja)
Ndiye mwenye huruma (namba moja)
Hawezi niacha (namba moja)
Namba moja namba moja
Namba moja Amenipa amani namba moja
Namba moja Yesu namba moja
Namba moja amenipa amani namba moja
"" **""
Hakuna kama wewe Bwana ,
Bwana sijawahi ona kama wewe
Wewe ni yule Jana Leo, hata milele hubadiliki kamwe
Bwana sijawahi ona kama wewe
Wewe ni yule Jana Leo hata milele hubadiliki kamwe
Waliojilinganisha na wewe Bwana Leo wako wapi ee
Walio jipiga kifua walitoweka wamesahaulika Bwana
Lakini wewe hubadiliki kamwe
Ni wewe yule Jana, Leo na milele
Bwana sijawahi ona kama wewe
Wewe ni yule Jana Leo hata milele hubadiliki kamwe
*
Jesus no one can be compared to you
Your the same yesterday today forever more! Jesus
( L I N G A L A)
( N O T R E C O G N I Z E D )
(LINGALA)
(NOT RECOGNIZED)
Bwana sijawahi ona kama wewe
Wewe ni yule Jana, leo hata milele hubadiliki kamwe
Mfalme wa wafalme
Bwana wa mabwana
(mataifa yote Sifuni Mungu )
Mfalme wa wafalme
(Yesu aliyetuokoa)
Bwana wa mabwana
(Hakuna mwingine kama yeye )
Mfalme wa wafalme
Bwana wa mabwana
(wowooohw )
Mfalme wa wafalme
(Anaweza yote Bwana)
Bwana wa mabwana
******
******
Haleluya
*******