![Ni Salama](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/13/6cbc5f5d51cd4db192cb8ca597bfda99_464_464.jpg)
Ni Salama Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni Salama - Erick Smith (KE)
...
nisaidie kuyajua mapenzi yako
hata wakati wa dhurubaaa
kukumbuka wema wako nikumbusheee
nikuishie wewe, wakati woteeee
nisikakutende dhambiii
ndani ya manungunikooo
wewe bwaaana(×2)
nisikakutende dhambiii
ndani ya manungunikooo
wewe bwaaana
wew bwaaanaaaaaa
nipema ufanye niseendee kinyume
ya mapenzi yakoooo
hata katika shida, nisaidie kujua
msingi Bora niwe nayo nafsi yangu
ikaiimbe sifa zakooo
wewe bwaaana(×2)
nayo nafsi yangu
ikaiimbe sifa zakooo
wewe bwaaana
wewe bwaaana
ikaiimbe sifa zakooo
wew bwaaanaaa bwanaaa
salama Rohini
ni salama Rohini mwangu(×2)