![Wewe Ni Zaidi](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/0F/62/rBEehlsOcHCALwIyAACiyX1vAUs403.jpg)
Wewe Ni Zaidi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Wewe Ni Zaidi - Erick Smith (KE)
...
Ninashangaa nikielewa wewe Ni zaidi ya vile nilivyo ambiwa ju yako Tena sauti yako yanizindia sauti zote ninazo sikia
Ninashangaa nikielewa wewe Ni zaidi ya vile nilivyo ambiwa ju yako,, Tena sauti yako baba yanizindia sauti zote ninazo sikia
Yale umetenda baba,,yote Ni makuu maana wayatenda kwa upendo,, Yale unasema baba yote Ni kweli,,,maana pia wayasema kwa upendo,,,*2
nimejipata ndani ya upendo wako ,, umekuwa kwangu mapumziko,,Neema yako yanitosha nikiwa nawe mm Niko huru
Nimejipata ndani ya upendo wako, umekuwa kwangu mapumziko,, Neema yako YESU BABA Yanitosha nikiwa nawe mm Niko huru,, ooh oooooh
Yale umetenda baba yote Ni makuu maana wayatenda kwa upendo Yale unasema baba yote Ni kweli maana pia wayasema kwa upendo,,*2
Wewe Ni MUNGU MKUU,, Mfalme wa wafalme,, mumba wa MIUNGU na nchi,, Heshima zote Ni zako Bwana,, Hakuna Kama weeewe,,
Yale umetenda baba yote Ni makuu maana wayatenda kwa upendo Yale unasema baba yote Ni kweli maana pia wayasema kwa upendo,, Yale umetenda baba yote Ni makuu maana wayatenda kwa upendo Yale unasema baba yote Ni kweli maana pia wayasema kwa upendo....